Unatazamia kukuza biashara yako? Tunaweza kusaidia.

Suluhisho za Biashara

Tafuta bidhaa muhimu za kuweka mtandaoni na kukuza biashara yako.

Pata maelezo zaidi

Biashara Yangu kwenye Google

Pata biashara yako kwenye Tafuta na Google, Ramani za Google, na Google+ bila malipo.

Pata maelezo zaidi

Matangazo ya Google

Jifunze kuhusu kutangaza na jinsi ya kupata pesa kutoka kwa tovuti yako.

Pata maelezo zaidi

Google Apps kwa Kazi

Barua pepe za mtandaoni, kalenda na hati zinakuwezesha kufanya kazi na yeyote kutoka mahali popote.

Pata maelezo zaidi

Tangaza mtandaoni

Kwa watangazaji

Wateja wale unaowatafuta, wanakutafuta—kwenye Google. Onyesha matangazo yako kwenye Google na mtandao wetu wa utangazaji, na ulipe tu iwapo watu watabofya matangazo yako.

Bidhaa zinazohusiana

Kwa wachapishaji

Tengeneza pesa kutoka kwenye tovuti yako kwa kuonyesha matangazo yanayohusiana na maudhui kwenye tovuti yako.

Kwa mawakala

Tafuta uhamasishaji na zana ili kufanya maajabu ya kuweza kuwasaidia wateja wako kunufaika zaidi na Google.

Suluhisho zako

Endesha biashara yako

Google Apps

Gundua barua pepe za wavuti, kalenda, na hati zinazokuwezesha kufanyia kazi mahali popote.

Ramani kwa Kazi

Google Earth na Maps inachanganya ramani zinazojulikana za Google na vipengele vya ziada zilivyobuniwa hasa kwa watumiaji wa biashara.

Tafuta suluhisho za Biashara

Ukiwa na nguvu ya utafutaji wa Google, biashara yako inaweza kufikia na kushiriki kwa urahisi maarifa ya shirika.

Huduma za wingu

Jenga biashara yako na Google App Engine, Uhifadhi wa Wingu, na API ya Kubashiri.

Chrome

Leta nguvu na utendaji wa Chrome kwenye biashara yako.

Weka biashara yako mtandaoni

Biashara Yangu kwenye Google

Pata biashara yako kwenye Tafuta na Google, Ramani za Google, na Google+ bila malipo.

Google+ kwa Chapa za Biashara

Kurasa za Google+ hupatia chapa yako ya biashara nyumba kwenye mtandao, na hukuruhusu kujenga uhusiano na wateja wako.

Uza bidhaa zako

Kituo cha Muuzaji

Tafuta wateja wapya, onyesha bidhaa zako mtandaoni, na usakinishe mchakato salama na wa haraka wa malipo.

Suluhisho zako

Boresha biashara yako

Uchanganuzi

Uchanganuzi wa Google unakusaidia kujifunza kuhusu tovuti yako ili uweze kuiboresha kwa wageni.

Zana za msimamizi wa wavuti

Pata data kuhusu utambaaji, uwekaji nambari na trafiki ya utafutaji inayoweza kukusaidia kuongeza wageni katika tovuti yako.